Padri Awataka Viongozi na Wakristo Kudumisha Uadilifu Kuelekea Uchaguzi wa 2027

Padri Benard Malich wa Jimbo Katoliki la Embu amewataka Wakristo kuishi kwa uaminifu, uadilifu na maadili mema huku akiwahimiza viongozi wa kisiasa kuongoza kwa uwazi na kuwajibika wanapojiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027. Akizungumza katika maadhimisho ya Sikukuu ya…








