Upinzani Meru wahairisha mikutano hadi mwezi ujao

Viongozi wa upinzani kutoka kaunti ya Meru wameweza kuahirisha mikutano ya kisiasa ambayo walikuwa wamepanga kufanya katika kaunti ya Meru kutoka kesho tarehe 20/5/2026, kama njia moja ya kusimama na wakenya ambao wameadhirika na kupanda kwa bei ya mafuta ya…





