Walimu wa JSS Meru waipa serikali hadi Mei Mosi kuwapa ajira rasmi

Walimu wa Junior Secondary School (JSS) katika Kaunti ya Meru wameipa serikali hadi tarehe 1 Mei kuwapatia kandarasi za ajira, wakitegemea maamuzi ya Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufaa yaliyosema kuwa kuwaajiri walimu kwa mfumo wa ufunzwa kazini (internship) ni…

