admin

admin

Thirikari kuuga mbura ya El-Nino ni ugwati munene

Riri mbura ya el nino itigaritie mithenya minini yambiririe kuura kundu gutiganite vurururiri, Thirikari ni igwetete mbura ino ta ugwati kuri ugitiri wa vuriri guku ikiuria akenya kurumirira rivoti cia maavitha a kung’ethanira na ugwati niguo kumatethereria kugitira mioyo na…

Askofu Kimani awataka viongozi kudumisha amani

Askofu wa Jimbo Katoliki la Embu, Mhashamu Peter Kimani Ndung’u, amewataka Wakristo na viongozi wa kisiasa kudumisha amani, upendo na unyenyekevu, akionya dhidi ya kauli na vitendo vinavyoweza kuleta migawanyiko katika jamii. Akihutubia waamini wakati wa Misa ya kuadhimisha miaka…

Viongozi wataka uwanja wa Nembure utumike kwa amani

Mbunge wa Manyatta, Gitonga Mukunji, amesema viongozi wa eneo hilo watahamasisha wachungaji na maaskofu kuandaa maombi katika uwanja wa Nembure, kufuatia vurugu zilizoshuhudiwa Jumamosi. Mukunji amesema hawataruhusu uwanja huo kutumiwa kuwagawa wananchi, kuchochea chuki au kusababisha mauaji. Amehimiza viongozi kutumia…