Papa Leo Kushiriki Chakula na Wahitaji 200 Huko Castel Gandolfo

Papa Leo anatarajiwa kushiriki chakula cha mchana na wahitaji wapatao 200 kutoka Jimbo la Roma katika Borgo Laudato si’, Castel Gandolfo, Jumamosi. Tukio hilo litaanza kwa adhimisho la Ekaristi likifuatiwa na matembezi katika bustani za Borgo Laudato si’ na baadaye…








