Upinzani Meru wahairisha mikutano hadi mwezi ujao

Viongozi wa upinzani kutoka kaunti ya Meru wameweza kuahirisha mikutano ya kisiasa ambayo walikuwa wamepanga kufanya katika kaunti ya Meru kutoka kesho tarehe 20/5/2026, kama njia moja ya kusimama na wakenya ambao wameadhirika na kupanda kwa bei ya mafuta ya petroli na pia kupatia mazungunzo nafasi kati ya serikali na vyama vya matatu, ambayo inatarajiwa kuendelea ndani ya siku saba zijazo.

Zaidi ya hayo wameweza kusinikiza mazungunzo ya uwazi Ili kuzusha bei ya bidhaa hiyo, na pia ili gharama ya maisha iweze kuteremka. Mikutano hii itaweza kuendelezwa mwezi ujao kuanzia tarehe nne mpaka tarehe nane.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *